Juzuu 2 – MAWASILIANO YA MAPENZI
Jifunze jinsi ya kumpenda kila mtoto kama zawadi ya kipekee kutoka kwa Mungu na kuonyesha tabia yake nyumbani kwako.
Juzuu 3 – WAFUNDISHE WATOTO WAKO
Jifunze umuhimu wa uanafunzi nyumbani mwako na jinsi ya kumtafuta Mungu kwanza kama familia.